Camp Gilgal ni nini?
Baada ya Waisraeli kuingia nchi ya ahadi, walipiga kambi Gilgali. Kutoka hapo walienda vitani na kuiteka nchi ya ahadi awamu kwa awamu. Yoshua 4:19
Mungu amenipa agizo la kuwawezesha watu wake kwa Neno la Imani, Ngao na Upanga, ili waweze kumiliki baraka zao na kufikia hatima zao.
Mzungumzaji Pastor Peter MakongoroCamp Gilgal ni mkutano usio wa kidhehebu. Wote mnakaribishwa.
Jisajili